People Daily

Viongozi Kutoka Eneo La Likoni Wamtaka Naibu Kamishna Katika Kaunti Hiyo Kutimuliwa.

Shinikizo limetolewa kwa kamishna wa kaunti ya Mombasa Evans Achoki kumuondoa naibu kamishna wa likoni Eric Mwaluwa  kwa madai ya kujihusisha na uhalifu wa ardhi ya Shonda ambayo inadaiwa kupewa mabwenyenye kutoka nje ya Likoni.

Mwakilishi wa zamani wa wadi ya bofu Ahmed Salama, amegadhabishwa na vitendo  vya unyakuzi wa ardhi vinavyotekelezwa kutoka kwa ofisi ya naibu kamishna huyo.

Show More

Related Articles