People Daily

Omutata aelekea mahakamani kupinga mabadiliko katika idara ya polisi

Mwanaharakati Okiya  Omutatah amewasilisha kesi mahakamani  akitaka kusitishwa kwa mfumo mpya wa uongozi uliotangazwa na rais Uhuru Kenyatta.Katika kesi hiyo Omutata anasema rais Kenyatta hana uwezo wa kisheria kuidhinisha marekebisho hayo yatakayofanikisha maafisa wa utawala na wale wa kawaida kujumuika katika kitengo kimoja kitakachojulikana kama General Duty Police.mabadailiko mengine anayopinga Okiya ni kufutiliwa mbali vyeo 12,kubadilishwa sare za maafisa wa polisi na kubadilishwa majina ya vyuo vya kutoa mafunzo ya polisi.

Show More

Related Articles