People Daily

Kamati ya elimu bungeni yatishia kumuondoa afisini Amina Mohammed

Kamati ya elimu bungeni inaonya huenda ikalazimika kuanzisha harakati za kumuondoa afisini waziri wa elimu balozi Amina Mohammed.Mwenyekiti Julius Melly anasema Amina amekosa kufika mbele yao mara kwa mara licha ya kupokezwa waraka wa kutakiwa kufafanua maswala tofauti yanayofungamana na elimu.Kamati hiyo inadai leo ilitaka kufahamu kutoka kwa waziri Amina mikakati iliowekwa kufanikisha mitihani ya kitaifa mwaka huu na uzinduzi rasmi wa mtaala mpya mwaka ujao.

Show More

Related Articles