People Daily

Hospitali ya rufaa ya Moi yakuwa ya pili kufanya upasuaji wa moyo nchini

Hospitali ya rufaa ya Moi mjini Eldoret ni ya pili kufanya upasuaji wa moyo nchini baada ya ile ya kitaifa ya Kenyatta.Hii ni baada ya upasuaji wa wagonjwa saba waliokuwa na matatizo ya moyo  na kufanikiwa.Afisa mkuu wa hospitali hiyo daktari Wilson Aruasa  anasema tayari mmoja wa wagonjwa hao ameruhusiwa kwenda nyumbani.

Show More

Related Articles