People Daily

Evans Kidero akamatwa na maafisa wa EACC

Aliyekuwa gavana wa Nairobi Evans Kidero amekamatwa na maofisa wa tume ya kukabiliana na ufisadi EACC. Kidero amekamatwa na maafisa wa upelelezi ambao wamekuwa wakipekua nyumba yake katika mtaa wa Muthaiga kuanzia saa nane alfajiri ya leo. Anatarajiwa kuandikisha taarifa katika makao makuu ya EACC kabla ya kufikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya ufisadi.

Show More

Related Articles