People Daily

Rais Wa Marekani Donald Trump Na Kiongozi Wa Korea Kasakazini Kim Jong Wakutana

Mkutano wa kihistoria kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un umefanyika nchini Singapore.

Wawili hao walikutana kwanza kwa dakika 38 kwa mujibu wa ikulu ya White House, na walikuwa ni wawili hao pekee na wakalimani wao.

Mkutano huo ulianza kwa viongozi wawili kusalimiana kwa tabasamu na kisha kuelekea ukumbi wa maktaba ya Cappela Hotel kwa ajili ya sehemu ya kwanza ya mkutano wa ana kwa ana baina yao.

Also read:   Obama awataka wakuu wa Republican wajitenge na Trump

 

 

Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker