K24 TvNEWSSwahiliVideos

SIASA ZA 2022

Naibu wa Rais, William Ruto amesisitiza kwamba atazidi kukuza maendeleo ilivyoratibiwa kutimiza ajenda nne kuu za Jubilee licha ya shtuma kwamba anatumia fursa hiyo kufanya kampeni za mwaka 2022.

Wandani wake aidha wamemsuta kinara wa ANC, Musalia Mudavadi, kwa kutilia shaka chanzo cha pesa za Naibu rais ambaye ameongoza hafla nyingi za kuchangisha pesa nchini.

Aidha akiwa eneo la Bururburu, Mudavadi amewataka mawaziri: Mwangi Kiunjuri, Henry Rotich na Charles Keter kwa kuwataja walioshindwa kutekeleza majukumu yao.

Show More

Related Articles