K24 TvNEWSSwahiliVideos

JAMII INAYOTOKOMEA: Kabila la Yaku lililohamia Laikipia kutoka Ethiopia lasalia na watu 4

Umewahi sikia jamii inayojulikana kama ya Yaaku?

Ni jamii ambayo licha ya kuwa nchini tangu karne ya 1, sasa hivi imebaki watu wanne pekee na ambao wana umri wa zaidi ya miaka 90.

Jamii hii huishi katika kaunti ya Laikipia eneo la Doldol, na watoto wa jamii hii hawajui hata kunena hata neno moja la jamii yenyewe kwani wengi wametangamana na jamii mbali mbali.

Show More

Related Articles