February 21, 2019

  Wabunge Chachu Ganya wa North Horr na Ali Rasso wa Saku waachiliwa huru

  Mahakama ya Nairobi imewaachiliwa huru wabunge Chachu Ganya wa North Horr na mwenzake wa Saku Ali Rasso katika kesi ya…
  February 21, 2019

  Wauguzi kaunti ya Kakamega wasitisha mgomo wao

  Muungano wa wauguzi kaunti ya Kakamega umefutilia mbali mgomo wao uliokuwa ukiendelea kwa muda wa siku tano. Katibu wa muungano…
  February 21, 2019

  Maafisa 5 wa polisi wa akiba wauwawa kaunti ya Baringo

  Maafisa 5 wa polisi wa akiba wameripotiwa kuuwawa kufuatia uvamizi uliotekelezwa na majangili kaunti ya Baringo. 5 hao wanadaiwa kuuwawa…
  February 20, 2019

  Serikali kuwasaka waliokwepa kulipa mkopo wa HELB

  Zaidi ya wanafunzi 70,000 wanasakwa na serikali kwa kukwepa kulipa mkopo wanaodaiwa na bodi ya ufadhili wa masomo ya juu…
  February 20, 2019

  IEBC yalalamikia mgao finyu wa bajeti

  Tume ya uchaguzi IEBC nayo imelalamikia mgao finyu ambao kwa miaka kadhaa ya kifedha imekuwa ikipokea. Kaimu afisa mkuu mtendaji…