HabariMilele FmSwahili

Wosia wa marehumu Tob Cohen wasomwa faraghani

Familia ya mwendazake Tob Cohen imepata fursa ya  kusoma yaliyomo kwenye wosia wa marehemu hasa kuhusiana na umiliki wa mali yake.

Wakili aliyekuwa na waraka huo Chege Kirundi amedhibisha kuwa familia ya Cohen akiwemo dadake Gabriella Van Straten wamesoma yaliyomo.

Hata hivyo wahusika wamekosa kuweka wazi  alivyotaka  mali yake igawanywe marehemu kutokana na agizo la mahakama kuwazuia kuzungumzia uchunguzi kwenye kesi hiyo.

Show More

Related Articles