HabariMilele FmSwahili

Wizara ya elimu yapiga marufuku masomo ya ziada

Wizara ya elimu imewaonya wakuu wa shule wanaolenga kuwepo na masomo ya ziada likizo ya muhula huu wa pili.Waziri balozi Amina Mohamed anasema wakuu watakaopatikana wanaendesha masomo haya watakabiliwa kisheria.Amewataka wazazi kutohadaiwa na wakuu hao. Anasema shule zote zinafaa kufunguliwa kwa muhula wa tatu agosti 27.

Show More

Related Articles