HabariMilele FmSwahili

Wiper yasema Raila hana nafasi kuwania urais 2022 chini ya NASA

Kinara wa ODM Raila Odinga hana nafasi ya kuwania urais 2022 chini ya NASA. Chama cha Wiper chama tanzu cha NASA, kinasema mwaka huo utaongozwa na makubaliano waliotia saini kwamba kinara Kalonzo Musyoka ndiye atapeperusha bendera ya urais wakati huo. Mbunge wa Makueni Dan Maanzo amewapuuza ambao wameanza kurindima siasa za mwaka 2022 wakizielekeza kwa ODM akisema wamepotea

Show More

Related Articles