HabariMilele FmSwahili

Waziri Sicily :Hifadhi ya damu nchini inakabiliwa na upungufu wa hadi asilimia 20

Hifadhi ya damu nchini inakabiliwa na upungufu wa hadi asilimia 20. Waziri wa afya Sicily Kariuki anasema kwa kila dakika 10 nchini wakenya 7 wanahitaji damu na hili limekuwa vigumu kutimizwa.

Akizundua mchakato wa kuwaomba wakenya kujitokeza na kuchanga damu hapa Nairobi, Kariuki anasema juhudi zaidi zinahitajika kufikia kiwango cha paini milioni 1 ya damu nchini

Ili kuongeza hifadhi hii, Kariuki anasema vituo zaidi vya muda vya kutoa damu vitafunguliwa kote nchini

Show More

Related Articles