HabariMilele FmSwahili

Watu 3 wafariki katika ajali ya barabarani karibu na mto Malewa ,Naivasha

Watu watatu wamefariki katika ajali ya barabarani karibu na  mto Malewa huko Naivasha.

Hali inasemekana kuwa mbaya baada ya baadhi ya wanafunzi waliokuwa wakielekea shuleni na wazazi kwa muhula wa tatu kukwama kwenye  mabaki ya matatu ya kampuni ya NNUS iliyogongana ana kwa ana na basi iliyokuwa ikisafirisha watalii.

Ni ajali ambayo imesababisha msongamano mkubwa wa magari katika barabara ya Naivasha Nakuru.

Show More

Related Articles