BiasharaMilele FmSwahili

Wateja wa Airtel kutumia shilingi 2 kila dakika kupiga simu

Wateja wa huduma za Airtel Kenya sasa watakuwa wanatumia shilingi 2 kwa kila dakika wanapopiga simu.  Afisa mkuu mtendaji  Prasanta Das Sarma anasema wanalenga kuongeza idadi ya wateja kupitia huduma hii mpya.

Show More

Related Articles