HabariMilele FmSwahili

Washukiwa 7 wa wizi wa magari wakamatwa Eldoret na magari 8 kunaswa

Polisi mjini Eldoret wamewatia mbaroni washukiwa 7 wa wizi wa magari sawa na magari 8 yalikuwa yameibwa. Kamanda wa polisi uasingishu Jonston Ipara anasema wamebaini 7 hao wamekuwa katika kundi ambalo limekuwa likitekeleza wizi wa magari pekee hasaa kaunti ya Uasin Gishu.

Anasema magari aina ya Vitz ,Probox na Toyota ndio yamekuwa yakilengwa na wezi hao ambao wamekuwa wakisafirisha hadi Tanzania kuuza. Uchunguzi wa wezi zaidi umeanza

Show More

Related Articles