Milele FmSwahili

Washukiwa 6 wa wizi wa shilingi milioni 72 waachiliwa kwa dhamana ya milioni 1

Washukiwa wa wizi wa shilingi milioni 72 katika benki ya Standard Chartered wameachiliwa kwa bondi ya shilingi milioni moja na wadhamini wawili wa kiasi hicho.

Hakimu mkuu wa mahakama ya Milimani Francis Andayi amewaamuru washukiwa kusalimisha pasipoti zao za usafiri katika mahakama hiyo sawa na kuripoti katika kituo cha polisi cha Langata kila siku kwa muda wa wiki moja

Show More

Related Articles