HabariMilele FmSwahili

Washukiwa 16 wa sakata ya dhahabu bandia kubaini iwapo wataachiliwa kwa dhamana au la

Washukiwa 16 wa sakata ya dhahabu bandia watafahamu leo iwapo wataachiliwa kwa dhamana. 16 hao akiwemo mfanyibiashara Jared Otieno tayari wamekana mashtaka ya kujipatia kwa njia ya ulaghai shilingi milioni 300. Polisi waliomba muda zaidi wa kuwaachiliwa kwa madai kuwa watavuruga uchunguzi dhidi yao.

Show More

Related Articles