MichezoMilele FmSportsSwahili

Wanariadha wa Kenya wamaliza mbio za Singapore Marathon kuazia nafasi ya 1- 17

Kwa mara nyingine wanariadha wa Kenya waliushangaza ulimwengu baada ya kumaliza mbio za Singapore marathon kwanzia nafasi ya Kwanza hadi nafasi 17 hapo jana.

Joshua Kipkorir alikuwa wa kwanza akitumia muda wa saa mbili dakika 12 na sekunde 19, akifuatwa kwa karibu na Felix Kirwa na Andrew Kimtai katika nafasi ya pili na ya tatu.

Priscah Cherono wa Kenya aliwai ubingwa katika kitengo cha kinadada

Show More

Related Articles