HabariMilele FmSwahili

Wanafunzi 62,851 kujiunga na vyuo vikuu vya umma mwaka huu

Jumla ya wanafunzi 62 851 watajiunga na vyuo vikuu vya umma mwaka huu. Waziri wa elimu balozi Amina Mohamed amedhibitisha kuwa wanafunzi hao ni miogoni mwa watahiniwa zaidi ya laki sita waliokalia KCSE mwaka jana na kupata alama zinazowawezesha kujiunga na vyuo hivyo.
Pia amedhibitisha kuwa wanafunzi zaidi ya zaidi ya 5000 hawakupaa nafasi ya kijiunga na vyuo hivyo.

Show More

Related Articles