HabariMilele FmSwahili

Wafanyikazi wa kiwanda cha Nzoia Sugar watishia kugoma

Zaidi  ya wafanyikazi 600 wa kiwanda cha sukari cha Nzoia wametishia kushiriki mgomo katika muda wa siku 7 zijazo kulalamikia kucheleweshwa kwa malipo yao. Wakiongozwa na katibu wa muungano wa wafanyikazi wa viwanda vya miwa Macdonald Wamocho  wanadai hawajapewa mawasiliano kuhusu kucheleweshwa kwa fedha zao. Wametaka maelezo kutoka kwa usimamizi wa kiwanda hicho.

Show More

Related Articles