HabariMilele FmSwahili

Viongozi wa siasa bonde la ufa wataka kuandaliwa kikao na Mwai Kibaki

Viongozi wa siasa bonde la ufa wanataka kuandaliwa kikao na rais mustafu Mwai Kibaki  ili kuweza kutafuta ushauri wa siasa .Wakiongozwa na gavana Jackson Mandago  wa Uasingishu, wabunge Oscar Sudi wa  Kapseret,Janet Sitienei wa Turbo,Caleb Kositany wa Soy  viongozi hao wamesema kikao hicho kinatazamiwa kutafuta ushauri wa kisiasa  kutoka kw a rais  mustaafu.Wanasiasa hao wanaoegemea mrengo wa naibu wa  rais William Ruto hawajaweza kupata kikao na rais mustaafu  Daniel Moi na wamekuwa wakimshtumu seneta  wa Baringo  Gideon Moi kwa kuwa kizingiti kwa ziara hiyo.

Show More

Related Articles