HabariMilele FmSwahili

Vijana 5 wakamatwa kwa madai ya kumiliki biskuti zilizotengenezwa na bangi Voi

Vijana watano wamekamatwa katika eneo la Voi kaunti ya Taita Taveta kwa madai ya kumiliki biskuti zilizotengenezwa na bangi.

Kamanda wa polisi eneo hilo Saidi Kiprotich anasema watano hao wanaendelea kuzuiliwa na watafikishwa mahakamani punde baada ya uchunguzi kukamilika.

Show More

Related Articles