HabariMilele FmSwahili

Utata waibuka baada ya mama wa pacha mmoja wa Kakamega kumtwaa bintiye kwa nguvu

Hatma ya pacha wa Kakamega haijulikani baada ya mama aliyemlea mmoja wa binti hao kumchukua kwa nguvu bintiye. Kizaa zaa kimeshuhudiwa pale Angelina Omina, aliyeandamana na polisi kumchukua bintiye Mevis Imbaya, kutoka nyumbani kwao katika eneo la Fufural, Likuyani kaunti ya Kakamega. Hayo yamejiri wakati wasichana hao walipokuwa wakijiandaa kukutana na gavana Wyclif Oparanya. Kulingana na Bi Omina jamaa za pacha hao walimshinikiza bintiye kuendelea kuishi na Rosemary Onyango, aliyedhibitishea kuwa mama yao

Show More

Related Articles