HabariMilele FmSwahili

“Usijali wa wakenya kupitia Huduma Namba hutasitishwa”

Usajili wa wakenya kupitia mfumo mpya wa Huduma Namba utaendelea licha ya bunge kutaka kupigwa marufuku kampuni ya IDEMIA awali ikifahamika kama OT Morpho kuendesha usajili huo. Waziri wa mawasiliano Joe Mucheru anasema programu zinazochukua taarifa za wakenya zilitengezwa humu nchini na kwamba ni vifaa pekee ambavyo vinavyojumuisha vipakatalishi elfu 35, vilivyoagizwa kutoka kampuni hiyo tata. Kwa mujibu wa wabunge, mchakato wa kuiteuwa kampuni hiyo kusambaza vifaa haukufata sheria za kampuni.

Show More

Related Articles