HabariMilele FmSwahili

Usalama waimarishwa katika ukumbi wa Bomas

Usalama umeiamarishwa katika ukumbi wa Bomas IEBC ikitarajiwa mshindi wa urais. Kufikia sasa rais Uhuru Kenyatta anaongoza kwa kura 8 170 016 akifuatiwa na Raila Odinga kwa kura 6 754 173.

Show More

Related Articles