HabariMilele FmSwahili

Usajili wa wanafunzi katika vyuo vikuu wazinduliwa rasmi

Serikali imezindua rasmi usajili wa wanafunzi katika vyuo vikuu. Waziri wa elimu balozi Amina Mohamed amesema wanafunzi wanaonuia kubadili baadhi ya masomo waliochagua wanahadi tarehe 23 mwezi huu kufanya hivyo mtandaoni. Kulingana na waziri Amina zaidi ya wanafunzi laki 6 wamepata alama zinazozawezesha kujiunga na vyuo vikuu.

Kadhalika waziri Amina amedokeza kuwa wanafunzi laki 130 waliofanya KCSE mwaka jana watapata nafasi katika vyuo vya kiufundi.

Show More

Related Articles