HabariMilele FmSwahili

Taharuki imezidi kutanda Baringo Kusini

Taharuki imezidi kutanda eneo la baringo kusini baada ya kuripotiwa mashambulizi mapya usiku wa kuamkia leo. Inadaiwa wavamizi walishambulia kambi ya polisi katika eneo la Makutani ila polisi waliweza kuwakabili.Viongozi wa eneo hilo sasa wanadai polisi wanaelekea kulemewa na mashambulizi hayo ya mara kwa mara huku vifo vilivyothibitishwa hadi kufikia sasa vikiwa ni 17.

Show More

Related Articles