HabariMilele FmSwahili

Sonko azindua huduma za mabasi 7 ya kusafirisha maiti bila malipo

Gavana wa Nairobi Mike Sonko amezindua huduma za mabasi 7 ya kusafirisha maiti bila malipo kama sehemu ya kumbukumbu ya miaka 3 tokea kufariki babake Gideon Kioko Kivanguli. Akizungimza katika makaazi yake huko mua kaunti ya Machakos Sonko amesema mradi huo wa milioni 5 utawafaa waliofiwa kusafirisha miili ya wapendwa wao kote nchini. Sonko pia amepinga madai kuwa mabasi hayo yamefadhiliwa na pesa za serikali ya kaunti ya Nairobi.

Show More

Related Articles