HabariMilele FmSwahili

Shuguli za uchukuzi Kitengela zatatizika baada ya wahudumu wa matatu kuandamana

Shughuli za uchukuzi zimetatizika mjini Kitengela kaunti ya Kajiado baada ya wahudumu wa matatu kuandamana na kufunga bara bara mjini humo. Wahudumu hao wamelalamikia vikali kile wametaja kuwa magari ya Sienta na Probox kuruhusiwa kuendeleza biashara ya uchukuzi wa umma kinyume na sheria. Polisi wamelazimika kuinghia kati na kuwatawanya waandamanaji ili kuwezesha shuguli kwenye barabara hiyo. Ni hali ambayo imesababisha msongamano mkubwa…

Show More

Related Articles