HabariMilele FmSwahili

Shughuli za usafiri katika barabara ya Outering hapa Nairobi kutatizika leo mchana

Shughuli za usafiri zinatarajiwa kuanzia sasa hadi saa nane mchana katika barabara ya Outering hapa jijini Nairobi kutatizika. Ni kufuatia mradi wa kuezeka kivukio kwa wanaotembea katika eneo la makutano ya barabara ya Quarry karibu na mto Ngong. Kupitia hilo watumizi wa barabara wameshauriwa kutumia barabara mbadala ili kuepuka msongamano wa magari

Show More

Related Articles