HabariMilele FmSwahili

Shughuli ya ubomozi wa jengo la Airgate maarufu kama Tajj Mall laendelea kwa siku 3

Shughuli ya ubomozi wa jengo la Airgate maarufu kama Tajj Mall linaendelea kwa siku tatu. Aidha maafisa wa polisi kwa mara nyingine wamelazimika kufyatua risassi kutawanya kundi la wakazi katika eneo hilo. Hii ni kubainika kuwa baadhi ya watu wananuia kupora mali katika eneo hilo. Mkuu wa kikosi kinachoongoza ubomozi huo Julius Wanjau ameshikilia kuwa polisi hawatawaruhusu watu wachache kutatiza shughuli hiyo.

Show More

Related Articles