HabariMilele FmSwahili

Shirika la ndege la Air Afrik kuwafuta kazi wafanyikazi wake 200 Novemba hii

Shirika la ndege la Air Afrik linalohudumu humu nchini na Sudan Kusini limetangaza litawafuta kazi asilimia 80 ya wafanyakazi wake Novemba hii.

Idadi ya wafanyakazi inaolengwa ni 200. Kulingana na shirika hilo, hatua hii inalenga kufanyia mabadiliko shirika hilo. Air Sfrik mwaka jana ilirekodi hasara ya dola milioni 20 hasaa katika shughuli zake Sudan Kusini.

Show More

Related Articles