HabariMilele FmSwahili

Serikali ya Kaunti ya Machakos yakana madai ya kutoweka mtoto katika hospitali ya Machakos level 5

Waziri wa afya kaunti ya Machakos Ancient Kituku,amepuuza taarifa za kuibwa mtoto mchanga kutoka hospitali ya  Machakos level 5 hapo jana muda tu baada kuzaliwa. Anasema mtoto huyo alifariki pindi tu baada ya kupelekewa katika kitengo cha watoto wachanga. Uongozi hospitalini humo unatarajiwa kutoa taarifa yake muda wowote sasa kuhusu kisa hicho.

Show More

Related Articles