BurudaniMilele FmSwahili

Rais kuongoza hafla ya kuadhimisha ukumbusho wa hayati mzee Jomo kenyatta

Miaka 40 baada ya kifo cha hayati Mzee Jomo Kenyatta, Rais Uhuru Kenyatta leo anaongoza hafla ya kuadhimisha ukumbusho wake. Rais pamoja na Mama Ngina Kenyatta watazuru na kuweka shada la maua kwenye kaburi la Mzee Kenyatta nje ya majengo ya  bunge.  Hafla hiyo itafuatiwa na misa maalum. Ni hafla hiyo itakayowaleta pamoja viongozi mbali mbali wa serikali na kisiasa

Show More

Related Articles