HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta kufungua rasmi kongamano la UN-Habitat leo Gigiri, Nairobi

Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kufungua kongamano la shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu maakazi UN-Habitat . Kongamano hilo linaloandaliwa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa Gigiri hapa Nairobi linahudhuriwa na viongozi mbali mbali kutoka mataifa 116 wakiwemo marais wanne. Kongamano hilo linatarajiwa kuangazia ujenzi wa maakazi ya bei nafuu,uchumi unaotokana na raslimali za majini, usalama wa wasichana mijini sawa na teknolijia na mabadiliko ya anga.

Show More

Related Articles