HabariMilele FmSwahili

Rais asaini mswada wa ugavi wa rasilimali za kaunti mwaka 2018/19

Rais Uhuru Kenyatta amesaini kuwa sheria mswaada wa ugavi wa raslimali za kaunti mwaka 2018/19. Hatua hii sasa inatoa nafasi kwa ugavi sawa wa ushuru uliokusanywa baina ya serikali kuu na zile za kaunti.

Show More

Related Articles