HabariMilele FmSwahili

Polisi Narok wamzuilia jamaa 1 aliyejaribu kumkaba mtoto wa miaka 3

Polisi eneo la Transmara kaunti ya Narok wanamzuilia jamaa wa mmoja wa miaka 25 aliyejaribu kumbaka mtoto wa miaka 3 eneo la Angata Barikoi. Ni kisa kimewaghadhabisha wenyeji waliompa kichapo cha mbwa kiasi cha kumuuwa jamaa huyo. Aidha imebidi muingilio wa chifu wa Barikoi  Paul Kirui ambaye amedhibitisha kuzuiiliwa jamaa huyo ambaye atafikishwa mahakamani asubuhi hii.

Show More

Related Articles