HabariMilele FmSwahili

Polisi 24000 wa utawala wajumuishwa na polisi wa kawaida

Polisi 24000 wa utawala  walioathirika kwenye mabadiliko yaliyofanywa na idara ya polisi wamejumuishwa na polisi wa kawaida katika hafla inakayoandaliwa huko Embakasi. Wakati uo huo wale wa kitengo cha kukabiliana na wizi yaani Anti Stock Theft Unit wamehamishiwa kitengo cha polisi wa utawala. Inspekta jenerali wa polisi Hillary Mutyambai  anaongoza hafla hiyo kwa sasa

Show More

Related Articles