HabariMilele FmSwahili

Phillip Kaloki :Taifa lina upungufu wa madaktari 45,000

Taifa lina upungufu wa madaktari 45,000.Mwenyekiti wa bodi ya taasisi ya mafunzo ya udaktari nchini KMTC, Phillip Kaloki anasema nyingi ya hospitali nchini zinahitaji wauguzi,maafisa wa afya na wataalamu wa viungo.Akizungumaza eneo la Awendo  kaunti ya Migori alipozuru eneo kutakako jengwa tawi la taasisi hiyo Kaloki anasema serikali kuu imetanga shilingi milioni 100 kwa ajili ya ujenzi huo.

Show More

Related Articles