HabariMilele FmSwahili

Obama :Kenya imepiga hatua kubwa tokea kuidhinisha katiba mpya ya mwaka 2010

Kenya imepiga hatua kubwa tokea kuidhinisha katiba mpya ya mwaka 2010. Ni kauli ya aliyekua rais wa Marekani Barack Obama anayesema ukuaji wa taifa kidemokrasia ni moja wapo ya mafanikio hayo. Akihutubu wakati alipofungua kituo cha sauti kuu Kijijini Kogello huko Siaya, Obama amesifia mwafaka wa rais Uhuru Kenyatta na kinara raila Odinga akisema hiyo ni ishara viongozi hao wametambua haja ya kuwaunganisha wakenya.

Show More

Related Articles