HabariMilele FmSwahili

Mwanaharakati na mwandishi Binyavanga Wainaina afariki akiwa na miaka 48

Mwanaharakati wa kupigania haki za wapenzi wa jinsia moja nchini Kenya Binyavanga Wainaina amefariki. Nduguye James Wainaina amethibitisha kuaga dinia  mwanaharakati huyo akiwa na umri wa miaka 48. Binyavanga ni miongoni mwa wakenya wa kwnaza kutangaza hadharani kwamba ni mpenzi wa jinsia moja.Mwaka wa 2002 Binyavanga alishinda tuzo la Canine kwa uandishi wa Afrika. Amefariki siku mbili tu kabla ya mahakama nchini kutoa uamuzi wa iwapo itafutilia mbali sheria za kikoloni ambazo zinaharamisha haki za wapenzi wa jinsia moja

Show More

Related Articles