HabariMilele FmSwahili

Mshukiwa mkuu wa sakata ya dhahabu bandia Jared Otieno kufikishwa mahakamani

Mshukiwa mkuu katika kashfa ya ulanguzi wa dhahabu ghushi nchini Jared Otieno anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo. Otieno amekesha korokoroni katika kituo cha polisi cha Kileleshwa baada ya kuhojiwa mchaka kutwa jana katika makao makuu ya idara ya jinai DCI. Alikamatwa kufuatia msako ulioendeshwa na polisi katika makaazi yake mtaani karen hapa Nairobi.

Show More

Related Articles