HabariMilele FmSwahili

Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Monica kusalia rumande kwa siku 14

Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Monica Nyawira Kimani, Joshua Irungu, atasalia rumande kwa muda wa siku kumi na nne akisubiri uamuzi wa iwapo ataachiliwa kwa dhamana au la.Hakimu Stella Atambo alidinda kukubalia ombi la mawakili wake wakiongozwa na Samson Nyaberi kutaka aachiliwa ili apokee matibabu.

Show More

Related Articles