HabariMilele FmSwahili

Mpango wa kuwapa wanafunzi wa shule za msingi maziwa wazinduliwa

Shule 350 zinalengwa katika shughuli ya kusambaza maziwa kwa wanafunzi wa shule za msingi kote nchini. Maziwa hayo yatakuwa yanatolewa na kampuni ya Maziwa ya Brookside akizungumza rasmi zoezi hilo waziri wa elimu Amina Mohamed amewataka wanaoshughulika na usambazji huo kuhakikisha watoto wote nchini wapata maziwa hayo bila ubaguzi

Anasema maziwa haya zaidi yatawasidia wanafunzi kando na kuwapa madini muhimu kwa ajili ya ukuaji akili zao

Show More

Related Articles