HabariMilele FmSwahili

Moto wasababisha hasara kubwa katikia soko la Githurai

Wafanyabiashara katika soko la Githurai eneo la Fanicha wanakadiria hasara kubwa baada ya moto mkubwa kuteketeza mali yao.

Kwa mujibu wa wafanyabiashara katika soko hilo moto huo ulianza usiku wa maanane.

Hata hivyo chanzo chake kinasalia kitendawili maafisa wa polisi wakianzisha uchunguzi.

Show More

Related Articles