HabariMilele FmSwahili

Mkewe marehemu Aboud Rogo Haniya saga ataendelea kuzuiliwa kwa muda wa siku 3

Mkewe mshukiwa wa ugaidi marehemu Aboud Rogo Haniya Saga ataendelea kuzuiliwa kwa muda wa siku 3 ili kutoa nafasi ya kukamilishwa kwa uchunguzi katika madai ya kuhusika na ugaidi yanayomkabili. Akiwa mbele ya hakimu Diana Muchache Haniya ameshtakiwa kwa kukosa kutoa taarifa muhimu kwa polisi kuhusu washukiwa 3 wa ugaidi waliohusika na shambulizi la kigaidi katika kituo cha polisi cha Central huko Mombasa. Haniya ataendelea kuzuilia hadi kesi ya kuamuliwa iwapo ataachiliwa kwa bondi au la itakaposikizwa.

Show More

Related Articles