HabariMilele FmSwahili

Mgomo wa wafanyikazi wa kaunti waingia siku ya pili leo

Shughuli katika kaunti zaidi ya kumi na tano zilizodinda kuwalipa wafanyakazi wao zinatarajiwa kuathirika kwa siku ya pili leo kufuatia mgomo wa wafanyakazi hao.

Kwa mujibu wa katibu mkuu wa muungano wa wafanyakazi hao Roba Duba kunazo baadhi ya kaunti zilizokosa kuafikiana na wafanyakazi hao ya jinsi ya kuwalipa mishahara yao ya mwezi Julai.

Ametaja Kisumu, Kitui, Laikipia, Homa Bay, Samburu na  Busia kuwa miongoni mwao

Show More

Related Articles