HabariMilele FmSwahili

Mfanyikazi wa shule ya wasichana ya Mumbi huko Muranga ajitia kitanzi

Polisi huko Muranga wanachunguza kisa cha matroni wa shule ya wasichana ya Mumbi Joyce Mwinzi kujitia kitanzi na kufariki. Mwalimu mkuu wa shule hiyo  Esther Njeri  Wambugu anasema walifahamishwa kuhusu kisa hicho na wasaidizi wawili wa shule hiyo. Ameongeza kuwa  marehemu amefanya kazi katika shule hiyo kwa muda wa miaka 35 pasipo kuwa na lalama zozote  ambazo huenda zilimfanya kujitoa uhai.

Naye kamishna wa kaunti ya Muranga Mohamed Bare anasema uchunguzi umeanzishwa

Show More

Related Articles