HabariMilele FmSwahili

Mfanyibiashara mwenye utata Paul Kobia aachiliwa kwa dhamana ya shilingi milioni 2

Mfanyabiasahra mwenye utata hapa Nairobi Paul Kobia ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi milioni 2 pesa taslimu katika kesi ya ulaghai inayomkbaili. Kobia mwezi jana makaazi yake eneo la Mzina Springs eneo la Riverside road yalivamiwa na makachero kutoka idara ya jinai DCI wakisaka stakabadhi katika tuhuma za kumhlagai mfanyabiashar ammoja kutoka Dubai shilingi milioni 14 kwenye biashara ya dhahabu gushi. Kobia anakabiliwa na kesi hii pamoja na watu wengi 13

Show More

Related Articles